Nakumbuka nilisoma nilichukua somo la uchumi kama digrii ndogo kwenye chuo changu.Kuna kipande kilikuwa kinaitwa maendeleo na uhusiano wa kimataifa,na mwalimu alizungumzia sana misaada na jinsi inavyozidi kuharibu bara letu la africa.Huyu jamaa ameweza kufupisha na kuongelea mambo yote ya maana ndani ya dakika kumi na tisa.Maelezo yake mazuri sana.
huyu jamaa amenena!
ReplyDelete