Arizona yaani wanateleza kinoma kuhusu immigration law yao mpya,mtu unaweza kuwa umetoka kupata chang'aa mahali usiku ukavutwa pembeni na njagu,halafu akaanza kukuuliza makaratasi kabla ya leseni na inshuarensi.Hii ni uvunjaji wa haki ya binadamu na watu wengi wameipinga vikali ikiwemo prez Obama.Kunawatu wamesajesti hatua za kupunguza wahamiaji haramu,wahamiaji ni watu na siamini kama kuna watu haramu.Anyway wenyeji wanaona hatua zifuatazo zichukuliwe kupunguza wahamiaji badala ya kujenga ukuta.Tell me what u think?
Wednesday, April 28, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment