Wakwetu wenyewe (Tanzania one).Hasheem Thabeet akijitahidi kumzuia Lebron James.Kwavile ni Mtanzania wa kwanza kuchezea NBA tangu hiyo ligi ianzishwe miaka ya sitini inabidi apewe heshima yake,hata kama hafanyi vizuri sana kama ambavyo wengi tungemtarajia.Mungu aendelee kukubariki Hashim na uendelee na uwe na afya na mafanikio makubwa huko mbeleni.Watanzania wote tuko nyuma yako ukifanya vizuri au vibaya.Tunajua sio rahisi lakini kaza buti uendelee mbele.
Tuesday, May 11, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment