Sikiliza Clouds FM Live station ya watu.

Sunday, February 21, 2010

Wage inflation

Engineers and scientists  will never make as much money as business executives. A rigorous mathematical proof explains why this is true:
Postulate 1: Knowledge is power.
Postulate 2: Time is money.

As every engineer knows:
Power = Work / Time
Since: Knowledge = Power, and Time = Money
Then: Knowledge = Work / Money
Solving for money we get: Money = Work / Knowledge
Thus, as knowledge approaches zero, money approaches infinity regardless of the work done.
Conclusion: The less you know, the more you make!

TOP TEN THINGS ENGINEERING SCHOOL DIDNT TEACH YOU!!!!

10. There are at least 10 types of capacitors.
9. Theory tells you how a circuit works, not why it does not work.
8. Not everything works according to the specs in the databook.
7. Anything practical you learn will be obsolete before you use it, except the complex math, which you will never use.
6. Always try to fix the hardware with software.
5. Engineering is like having an 8 a.m. class and a late afternoon lab every day for the rest of your life.
4. Overtime pay? What overtime pay?
3. Managers, not engineers, rule the world.
2. If you like junk food, caffeine and all-nighters, go into software.
1. Dilbert is not a comic strip, it's a documentary.

When an Engineer falls in love.!!!!!!

Hi dear!

Yesterday, I was passing by your rectangular house in
trigonometric lane. There I saw you with your cute
circular face, conical nose and spherical eyes,
standing in your triangular garden.

Before seeing you my heart was a null set, but when a
vector of a particular magnitude from your eyes at a
deviation of theta radians made a tangent to my heart,
my heart differentiated.

My love for you is a quadratic equation with real
roots, which only you can solve by making good binary
relation with me.

The tangent of my love for you extends to infinity. I
promise that I should not resolve you into partial
fractions but if I do so, you can integrate me by
applying the limits from zero to infinity.

You are as essential to me as an element to aset.

The geometry of my life revolves around your acute
personality.

My love, if you do not meet me at parabola restaurant
on date 10 at sunset, when the sun is making an angle
of 160 degrees, my heart would be like a solved
polynomial of degree 10.

With love from your higher order derivatives of maxima
and minima, of an unknown function. You make my heart
pump like a turbo diesel engine"

" Who still say engineers cannot charm ladies?????

Saturday, February 20, 2010

The Most bufoon (Kituko) General after Iddi Amin

 
   Alexander haig,jr  alianza career yake  kama mwanajeshi wa kawaida wa jeshi la Marekani mwaka 1947.Aliendelea kupanda cheo Jeshini Mpaka akafikia cheo cha Vice chief of staff of the Army.kwa kifupi ni bosi namba mbili wa jeshi la marekani(number two ranking-officer in the army).
    Baada ya mafanikio makubwa jeshini Raisi Richard Nixon akamchagua kama msaidizi wake katika ushauri wa mambo yanayohusu usalama.Na mwaka 1981 mwezi wa kwanza raisi Regan aliona Haig anamsaada mkubwa sana na akamuomba kuwa waziri mkuu( Chief secretary of state).Baada ya hapo vituko ndio vikaanza.Mwezi wa tatu (march),raisi Regan alishambuliwa kwa risasi katika jaribio la kumuua,risasi ilimpata kifuani na akakimbizwa hospitali kuu ya kijeshi kutibiwa.Chief of staff Haig akaona hapo ndio mahali pa kuonyesha vituko vyake.Haraka alitokea kwa waandishi wa habari na kuwaambia yafuatayo:

     "Constitutionally, gentlemen, you have the President, the Vice President and the Secretary of State in that order, and should the President decide he wants to transfer the helm to the Vice President, he will do so. He has not done that. As of now, I am in control here, in the White House, pending return of the Vice President and in close touch with him. If something came up, I would check with him, of course."

maana yake
" Waungwana ,kikatiba mlolongo wa madaraka ni raisi,makamu wa raisi halafu waziri mkuu (ambaye alikuwa yeye),na kama raisi akitaka kuhamisha madaraka kwa makamu wake wa raisi atafanya hivyo,lakini kwa sasa hajafanya hivyo.Mimi ndio mdhibiti hapa Ikulu.Namsubiri makamu wa rahisi arudi na nitamgusia naye kwa karibu na kama jambo likija, napenda kuangalia pamoja naye, bila shaka".

Wengi waliposikia maneno yake walishikwa na bumbuwazi,manake Marekani ni nchi imejengwa kufuata misingi ya kikatiba na yeye Haig hakuonyesha kuifahamu wala kuiheshimu katiba.Lakini yeye alitaka kuituliza nchi kwa kuonyesha ujasiri wake wa kijeshi kwa wananchi wa marekani ambao walishaanza kuchanganyikiwa kwa hofu kubwa baada ya raisi wao kupigwa risasi.Alitaka kuwapa uhakika kwamba kila kitu kiko sawa.

Kwakawaida katiba ya Marekani inasema raisi akishindwa kuongoza nchi kwa ugonjwa au akifa ghafla ili Vice president au secretary of state aongoze nchi inabidi spika wa bunge,na rais pro tempore wa Senate  (wakati huo, J. Strom Thurmond), wajiuzulu na kuchukua wadhifa wa vice president .Na utaratibu huo huchukua muda.

Miaka mingi baadae  mwaka 2001 aliulizwa kwenye kipindi cha 60 minutes alikuwa na maana gani akisema "i'm in control here", akajibu     "I wasn't talking about transition. I was talking about the executive branch, who is running the government. That was the question asked. It was not, "Who is in line should the President die?"


Wednesday, February 17, 2010

MJUE MCDONALD MARIGA WANYAMA

 
   Alizaliwa  april 4th,1987  kamukunji Kenya.Anaongea kiswahili cha kuchekesha cha kikenya ambacho mara nyingi kimechanganyika na maneno ya kizungu na lafudhi za kikuyu.Sisi wa Tanzania tunakiita kiswanglish.Ameenda high school ya kamukunji na ni mtoto wa mkulima wa kawaida tu Kenya.Ni mchezaji wa mpira wa miguu na nafasi yake ni ulinzi wa kati (midfield). January 2010 Inter Milan  ambayo ni klabu kubwa ya daraja la kwanza nchini itali ilimnunua kutoka Parma(klabu nyingine kubwa ya daraja la kwanza) ilimnunua kwa yuro million mbili sawa na dola million nne za kimarekani,manake club yao inahitaji mlinzi wa kati vibaya sana na Micdonald ndio mwenyewe haswa.Amesaini mkataba wa miaka minne.Mmoja kati ya mashabiki wake wakubwa ni waziri mkuu wa kenya Raila Odinga ambaye alitumia masaa matatu ya simu kutoka afrika akiongea na Gordon brown ili Mcdonald apewe kibali cha kufanya kazi ndipo aweze kuichezea Manchester City ambayo ni timu kubwa na ya daraja la kwanza Uingereza.Manchester City walikuwa wa kwanza kumng'angania na walikuwa tayari kumpa dau kubwa lakini sheria ngunguri na za kibaguzi za kiingereza zilimzuia.Mungu ambariki katika safari yake hiyo labda siku moja ataweza kufungua milango kwa waswahili wengine pia.Juhudi na kipaji cha mtu kinaweza kumfikisha mtu na hata kuinua jamii yake hadi juu kabisa.

Saturday, February 13, 2010

Martina Chambire singing Tanzania ee

Niliupenda sana wimbo huu ,niliusikia mara ya kwanza nikiwa form 1,1995.

Monday, February 1, 2010

An Invisible hand to produce the greatest social good.

Wadau haya ni maneno ya busara kutoka kwa waanzilishi wa ubepari Adam Smith na mimi nikaona niwagawie kidogo.Furahia busara hiyo.Kwa hiyo wakati mwingine ukiona watu wanashindana ujue kunamaendeleo.

"Competition among sellers has caused increased attempts to develop better products,It is not from their benovelence that we expect our dinner,but from their regard of their own interest.The first to succeed in that competition enjoys higher profits than their rivals,but only temporarily.As others copied new products and methods and so they put inevitable downward pressure on prices.In seeking to promote their own advantage,the ultimate beneficiaries are customers."