Habari yenyu wandugu.Leo ndio nimefungua bulogu hii na ninamambo kibao ya kujifunza kutoka kwenu wanainji wenzangu na labda nyinyi mtajifunza mambo kutoka kwangu.Hii bulogu itakuwa ni tofauti na zingine zote kwamba mtu akiwa kwenye bulogu hii ambayo itakuwa ya jumuiya muda si mrefu,kwa kweli hatahitaji kwenda yunivasite kusoma tena,manake mambo yote atayapata hapa.Tutakuwa tunabonga kiswahili muda mrefu na kiingeleza kidogo.Kwahiyo funga mkanda na karibu ufurahie busara,hekima,habari na vichekesho.
Tuesday, December 15, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment