Naona aliamka na kiherehere cha ualimu ndio the besti profesheni in the world,akasahau madakitari,mainjinia,manesi,mafundi wa ujenzi,wanasayansi.Na halafu sijui alikuwa anazungumzia ualimu gani sijui wa shule ya chekechea,msingi sekondari,chuo cha ufundi au chuo kikuu? huyu mzee wetu bwana alikuwa na mambo,anyway alikuwa na busara pia.
Wednesday, December 23, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment