Kwakweli hii imenihuzunisha sana mtoto wake anavyosimulia kwa uchungu,ingawa anajaribu kuficha huzuni kwa kusmaili lakini it is very clear that she was in pain remembering everything,nakumbuka kila mtu Tanzania hakuamini kama kweli mzee ameondoka,watu kutoka sehemu mbali mbali walisikitika sana thats all i can say.Rose inaonekana alikuwa strong sana.Thats all i can say.
Thursday, December 24, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment