Hii ni taarifa kutoka kwa watu waliomjua idi amini.Wanasema eti alikuwa mtu mzuri.Na wanashindwa kuelewa amewazaje kuwa na tabia mbili tofauti ya mtu mzuri na mtu katili anayechinja watu.Labda wana saikolojia ya akili watusaidie.Naomba michango yenu ya mawazo.
Saturday, December 26, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment