Nimeipenda sana hii spichi ndogo ya huyu jamaa kuhusu waalimu na umuhimu wao na jinsi walivyokuwa wanashikilia sehemu nyeti serikalini.Hakuna mtu yeyote anaye weza kuwaangalia kwa chini walimu na kuwasemasema hovyo.
Wednesday, December 23, 2009
Nyerere Waalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment