Sikiliza Clouds FM Live station ya watu.

Monday, April 26, 2010

Kuhanzia reo we charipu kuvuruta shigala utakipata cha kwako!

After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned
the duty of posting notices in Kiswahili to that effect.

See how different councils posted this advert: Other councils are still working on theirs.......

The Coast Town Clerk wrote:

Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka
amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

The Kiambu Town Clerk:

Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

The Machakos Town Clerk:

Wavulutanji tusikala wasunge sana. Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana.

The Kisumu Town Clerk:

Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutu
bhahala yaghe kiburuta.

Kericho Town Clerk:

Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!

No comments:

Post a Comment